Maisha yana changamoto nyingi na mapito mbalimbali. Mungu mara zote anatupa mlango wa kutokea tukiamini na tukimtegemea yeye peke yake kwa kuwekeza mioyo na nafsi zetu kwake, tukimuomba na kumuamini, hakika atatuvusha katika changamoto zetu zote.
Karibu kutazama wimbo Tegemeo letu uliotungwa na Zacharia Gerald na kuimbwa na Kwaya ya Mt. Kizito Makuburi.
WIMBO: TEGEMEO LETU
MTUNZI: ZACHARIA GERALD
WAIMBAJI: KMKMAKUBURI
ORGANIST : COLMAN UFUNGUO & ALPHONCE MVILLE
PERCUSSION : VINNY MUKASA
DRUMS : FREDY MWESIGA
AUDIO: PRO STUDIOS
VIDEO: BUGATI PRODUCTION
MUSIC NOTE: https://www.kmkmakuburi.co.tz/pdf/tegemeo-letu
Finally found a site that plays Hindi dub smooth and fast. Kudos!